Bariadi High School

Matukio ya Shule

Nichukue nafasi hii kwa niaba ya Jumuiya ya Bariadi Sekondari Kumshukuru sana Mh Mbunge ANDREW CHENGE kwa msaada wa photocopy mashine katika Shule ya Sekondari Bariadi

Kupokea Photocopy Kupokea Photocopy Kupokea Photocopy Kupokea Photocopy
Mashine hii itatusaidia sana kuhakikisha wanafunzi wanapata package za mitihani pamoja na notes kipindi hiki cha likizo wakati tukitekeleza mkakati wa Elimu Mkoa.Mkuu wa Shule Ally Simba Alishukuru Ujio wa Mbunge.
Headmaster

Aidha Mh Mbunge ametoa mifuko 100 ya saruji na Bati 104 ili kukamilisha madarasa mawili(2) yaliyojengwa kwa nguvi za Wananchi.

Kupokea Photocopy Kupokea Photocopy Kupokea Photocopy Kupokea Photocopy

Kumbuka

Bariadi Sekondari Haikubali Kushindwa

Karibu sana

Bariadi High school, the fountain of Knowledge