Students' Galleries and Lifestyle

Wiki ya kwanza 1/6/2020, Kidato cha 6 wakisikiliza maelezeko muhimu baada ya likizo ndefu ya CORONA.

Semina elekezi walipewa toka kwa Idara ya Afya na Elimu.

Maisha na Taadhari za CORONA,

Mwanafunzi atengeneza app ya Mahafali bonyeza hii picha kuona ubunifu huo

Maisha na Taadhari za CORONA, wiki ya kwanza 1/6/2020

Maisha na Taadhari za CORONA, wiki ya kwanza 1/6/2020

Maisha na Taadhari za CORONA, wiki ya kwanza 1/6/2020

Bwana afya Dktr M. Igenge akionesha namna salama ya kufungua koki ya ndoo bila kujihatarisha

Mwanafunzi wa kidato cha sita akifanya zoezi la kufungu a koki kwa njia salama ili kujikinga na Janga la CORONA

Mwanafunzi wa kidato cha sita(6) akifanya zoezi la kunawa mikono kama walivyoelekezwa na Idara ya afya Mji na Mkoa

Kidato cha sita (6) wakifuatilia na kusikiliza maelekezo kwa umakinin kabisa

Kidato cha sita (6) wakifuatilia na kusikiliza maelekezo kwa umakinin kabisa

Shukrani nyingi zilitolewa na wanafunzi wakishukuru ujio wa wataalam hao kuja kuwaelimisha.

Barakoa zilitofautishwa, kuna Surgical, N95 na za kushona. Wanafunzi walishauriwa kutumia za kushona na kila mtu awe nazo 3 zenye tabaka 2 za kitambaa. Wazivae-kuzifua-kuziania juani na kuzipiga pasi alisisitiza Bwana afya

Picha ya Pamoja walimu, Afisa elimu Mji na Idara ya Afya

Maisha na Taadhari za CORONA, wiki ya kwanza 1/6/2020

Wanafunzi wakinawa waingiapo darasani na wanapotoka

Mazoezi ya mwili kila siku jioni ili kukabiliana na homa kali ya mapafu (CORONA). Walimu na wanafunzi.

Mazoezi ya mwili kila siku jioni ili kukabiliana na homa kali ya mapafu (CORONA). Walimu na wanafunzi.

Mazoezi ya mwili kila siku jioni ili kukabiliana na homa kali ya mapafu (CORONA). Walimu na wanafunzi.

Mazoezi ya mwili kila siku jioni ili kukabiliana na homa kali ya mapafu (CORONA). Walimu na wanafunzi.

Picha ya Pamoja na Wakaguzi waliyoitembelea shule kukagua na kutoa maelekezo katika kipindi cha kufungua shule kidato cha sita na tahadhari za CORONA

Zoezi la Upimaji joto likaendeshwa kwa wanafunzi na walimu katika kukabiliana na CORONA.

Wanachama wa kikundi cha dini Wakimwimbia Muumba wao - "ASSA 2016"

Mwanafunzi atengeneza App ya Mahafali

PCB with their teacher, Madam Madete.

2016 form three's

Form 6 - 2017 in picture.

Jumuiya ya wazazi wakipanda miti na mwanafunzi Elikunda Singo wa kidato cha pili 2018.

Form six 2017 in a picture Pause, soon after their graduation.

Gerald philipo "form six 2018" in pause with his Teachers

I love my school,

School football team in mid 2016.

Mwanafunzi JOSEPH CHILESA kidato cha sita 2018, akipendekeza kambi liwe Disemba.

Miti ikipandwa na wanachama wa jumuiya ya wazazi Chama cha Mapinduzi.

Safari ya kwenda Maswa Kambini, Katika picha ni Msaki Smart

Tunza mazingira yakutunze

Mkuu wa shule ashiriki katika zoezi la kupanda miti.

Zawadi zilitolewa kwa wanafunzi bora kimasomo

Wanafunzi wakionesha namna ya kutengeneza dawa ya kung'arisha viatu kwa kutumia mkaa.

Wewe kidato gani? "cha Sita" mwanafunzi alijibu swali la mkuu wa mkoa,kisha akaambiwa kuleta hoja zinazohusu kidato chake.

VIONGOZI WETU

TESTING AND RE-TESTING PLAN NOT TO MISS

FORM 2A

KIDATO CHA PILI WAKISHANGILIA BAADA YA KUSIKIA MATOKEO MAZURI

HAKUNA KWENDA NYUMBANI, MZAZI ATAPIGIWA SIMU CHAKULA CHA KAMBI KILETWE

KIDATO CHA SITA 2018/2019 HKL WAKI-GOOGLE

SEARCHING FOR MORE MATERIALS FOR LANGUAGE 1. FORM SIX HKL

USAFIRI WA BURE KUELEKEA 88 NYAKABINDI

Mwanafunzi atengeneza App ya Mahafali

WANAFUNZI WAKIPANDA USAFIRI WA BURE KUELEKEA NYAKABINDI 88, WALISINDIKIZWA NA MR MAFURU - MAKAMU MKUU WA SHULE.

UPILI WA JUU WENYE NAULI WAKIPANDA BASI, WALISINDIKIZWA NA MWL HAPPY.S NA PIUS.P

Oyooooooo!!!! WALIOLIPIA NDANI YA USAFIRI MURUA KWENDA 88 NYAKABINDI

WANAFUNZI WA UPILI WA JUU WAKIINGIA VIWANJA VYA NYAKABINDI SIKU YA 88 TAYARI KUANZA MIZUNGUKO.

NYATI ALIYEFUGWA TOKA AKIWA MDOGO,(WATER BUFFALO, 4 YEARS WITH 1000KG)

KIDATO CHA 4 WAKIPOKEA MAELEKEZO

WANAFUNZI WA UPILI WA CHINI KIDATO CHA 3,2 NA 1 WAKIZUNGUKIA MABANDA YA 88 VIWANJA VYA NYAKABINDI

"HATIMAYE TUMEFIKA NANE NANE"

MKUU WA MKOA WA SIMIYU AKIWA NDANI YA GARI LA WAZI SIKU YA SIKUKUU ZA NANE AKIKAGUA VIBANDA

VIRANJA WA VITENGO MBALIMBALI

KAMBI LA KIDATO CHA NNE-NGAZI YA SHULE: GROUP DISCUSSION

KAMBI LA KIDATO CHA NNE-NGAZI YA SHULE: GROUP DISCUSSION

FORM FIVE UKWATA MEMBERS KATIKA SHEREHE YA KUKARIBISHWA KWENYE CHAMA

"LY FORM 6 UKWATA "

FORM5 UKWATA WAKIKARIBISWA KWENYE CHAMA

CASFETA NA MLEZI WAO.

"DAWA TUMEKUNYWA KILICHOBAKIA NI KUSOMA ILI TUWEZE KUFAULU" MANENO HAYO ALIYASEMA REHEMA BIN JOSHUA.

Mwanafunzi atengeneza App ya Mahafali