eClass and Digital Library

Bariadi High School eClass and Digital Library offers you all what you need. Abide to all deadlines and guideline to avoide incoviniencies.

Enter to Learn

Commited Clubs

View and read about clubs in Bariadi Secondary school that are

Read more

Staff

Every unique action is awarded either positively or negatively

Read more

From Headmaster's Desk

Jumuiya ya Bariadi Sekondari walimu, wanafunzi na watumishi wengine tunaungana na serikali kupambana dhidi ya virusi vya CORONA vinavyosababisha homa kali ya mapafu - COVID 19.


Wanafunzi wote mkumbuke kunawa mara kwa mara na maji na sabuni na muepuke maeneo yote hatarishi yanayoweza kukuweka kwenye hatari ya kuugua COVID 19.

Kipindi hiki cha likizo wanafunzi woote mfuatilie mtandao wa shule www.bariadisecondary.sc.tz huko kutakuwa na mambo muhimu na ya msingi. Kusoma ni mahali popote, wakati wowote na hali yeyote ile MSIBWETEKE.

Kazi zote zitakusanywa mara tu shule itakapofunguliwa.

Click here to do the Holiday Quizes


Mwanafunzi Mkoani Simiyu atengeneza App ya Kuratibu Mahafali. Tazama video hapa chini kuona Ugunduzi Huo..

Michael Manzil na Peter Solicha wa kidato cha 4 Bariadi Sekondari waliamua Kutengeneza Mfumo wa kuratibu shughuli zote za mahafali na Sherehe mbalimbali.
*
Mfumo huo waliuita MEM (Mfumo Endeshi wa Mahafali) ulizinduliwa siku ya mahafali yao 24/10/2019 na ukawasaidia wazazi kufuatilia matukio yote katika simu Janja(SmartPhones).
*
Fuatilia video hapo juu uone Ugunduzi huo unavyopunguza msongamano hasa wakati wa kupiga picha kwa Kuwa picha, Ratiba, Hotuba, Risala na orodha mbali mbali ziliwekwa kwenye Mfumo.
*
Wagunduzi hawa wanasoma Somo la Computer hapa Shuleni ndipo wakavutiwa sana Kufanya ugunduzi huu baada ya Kufundishwa na Mwalimu Mahiri wa Somo la Computer 'ICS' Mwlm Pius.
*
Karibu Mkoa wa Simiyu > Bariadi Sekondari TUGUNDUE.

School's popular Events